Friday, December 16, 2011

RAIS KIKWETE MKUTANONI KAMPALA

Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda huku Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kimataifa ya Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) anayemaliza muda wake Balozi Liberata Mulamula akitega sikio katika siku ya pili ya mkutano huo wa viongozi wakuu wa  ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongojini Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011
. Rais Jakaya Kikwete akiongea na Rais Michael Satta wa Zambia na mkewa usiku wa kuamkia leo, muda mchache kabla hawajaelekea Ikulu ya Entebbe ambako Rais Yoweri Museveni aliandaa chakula cha usiku kwakatik  wajumbe mkutano huo wa viongozi wa  ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongojini Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU