Friday, December 16, 2011

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA KDF MKOANI KILIMANJARO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Maendeleo la Mkoa wa Kilimanjaro (KDF) na Waziri Mkuu Mstaafu,Leopa Msuya  (wapili kushoto) na Makamu wake, Anald Kileo (kushoto baada ya kufungua mkutano wa KDF kwenye hoteli ya Kilimanjaro Cranes Mjini Moshi, Desemba 15,2011. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Siha, Aggrey Mwanri

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU