Wednesday, December 7, 2011
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA 17 WA MABADILIKO YA TABIANCHI DURBAN-AFRIKA YA KUSINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa mkutano wa majadiliano wa Viongozi wakuu 194 wa nchi wanachama wa Itifaki wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi, juu ya kupunguza uzalishaji wa gesijoto Duniani kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 17 wa umoja huo uliofanyika jana Desemba 6 mjini Durban, Afrika ya Kusini
0 maoni:
Post a Comment