Wednesday, December 14, 2011
MASHINDANO YA TAIFA YA KIKAPU YAPAMBA MOTO
-Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Tuku Subira (Kushoto) na Semeni godwini wa mkoa wa Shinyanga wakiwania mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es SalaamMchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Lilian Hermani (Kulia) na Mary Meshack wa mkoa wa Shinyanga wakinyang’anyana mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es SalaamMchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Morin Syzia (Kulia) akicheza wakati Marry Meshack akijaribu kuzuiya wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam-Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Morine Syzia wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es SalaamMchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Shinyanga , Marry Meshack (Kushoto)akijaribu kumtoka Morine Syzia wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaa
0 maoni:
Post a Comment