(kushoto) Afisa masoko wa Global Publisher Benjamini Mwanambuu akimkabidhi cheti cha kushiriki na kudhamini Seminar ya Umaskini Fullstop Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde, cheti hicho cha shukurani kimetolewa kwa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kudhamini seminar ya umaskini fullstop na burudani ya Muziki iliyofanyika Mkoani Arusha mwishoni mwa mwenzi November na kuudhuriwa na wakazi wengi wa jijini hapo.
0 maoni:
Post a Comment