Friday, December 16, 2011

NBC YAZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akikata utepe
kama ishara ya uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja cha benki
hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja, Jane
Dogani na kushoto ni Meneja wa Kituo hicho, Ngwitika Mwahesya
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akibonyeza
kitufe kuzungumza na mmoja wa wahudumu wa wa kituo kipya cha huduma
kwa wateja cha benki hiyo kilipozinduliwa jijini Dar es Salaam leo.
Kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja, Jane Dogani, kushoto ni Ofisa
Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Maharage Chande na wapili kulia ni Meneja wa
Kituo hicho, Ngwitika Mwahesya.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakishuhudia uzinduzi wa kituo kipya
cha huduma kwa wateja wa benki yao jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati)
akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja
cha benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto
waliokaa ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Maharage Chande, Meneja wa
kituo hicho, Ngwitika Mwahesya, Meneja Huduma kwa Wateja, Jane
Dogani, Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugal

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU