Friday, December 23, 2011

RAMBI RAMBI

Waziri wa Nchi Ofisi  ya Waziri Mkuu  (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi (Mb) akiongea na wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Maafa ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walipofika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya  kutoa mkono wa rambi rambi kwa Maafa ya Mafuriko yaliyotokea Jijini Dar es Salaam, wa kwanza Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mh. Mohammed Aboud Mohammed,wa Pili ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Bw. Said Shaban na watatu ni Kamishina wa Zimamoto Zanzibar, Ali Abdallah Malimussy.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU