Monday, December 5, 2011
WILAYA YA KARATU NI WAKULIMA NA WAFUGAJI
Picha hii inaonyesha urafiki kati ya paka na mbwa wa karatu ulivyo kuwa wakuaminiana kwa vile mjii wa kaatu niwafugaji hivyo paka kashiba nyama na mbwa kashiba nyama kwa hiyo hakuna kugombana picha na chris mfinangaWafanya biashara wa ndizi wakiwa wame beba mkungu wa ndizi wakiupeleka katika soko la mji wa karatu tayari kwakuuza mkungu huo wa ndizi ni mkubwa kiasi ambacho mtu mmoja hawezi kubeba
0 maoni:
Post a Comment