Monday, January 2, 2012

JK KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MSOGA

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipojumuika nao wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU