Wednesday, January 4, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AHUDHURIA SHUGHULI ZA MAZIKO 'DUA' YA MAREHEMU BALOZI ATHUMAN MHINA

 Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Wazazi wa CCM Zanzibar, Bi. Dogo Mabruk, wakati alipokuwa akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina, kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za maziko, Madale jijini Dar es Salaam, leo Januari 3, 2012. Kulia ni Sophia Simba.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipofika nyumbani kwa  aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina, kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za maziko, Madale jijini Dar es Salaam, leo Januari 3, 2012
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Pius Msekwa, wakati akiwasili  nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina, kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za maziko, Madale jijini Dar es Salaam, leo Januari 3, 2012
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wananchi katika dua maalum ya kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika nyumbani kwa marehemu Madale jijini Dar es Salaam leo, Januari 3, 2012.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wananchi katika dua maalum ya kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika nyumbani kwa marehemu Madale jijini Dar es Salaam leo, Januari 3, 2012.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wananchi kuomba dua maalum kwa  aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika nyumbani kwa marehemu Madale jijini Dar es Salaam leo, Januari 3, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti Mkuu wa Baraza la waislam Tanzania, Sheikh Shaaban Simba, wakati akiondoka nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, marehemu Balozi Athuman Mhina.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU