Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua ujenzi wa jengo la Zahanati ya Kilanjelanje iliyopo Jimbo la Kilwa Kusini, wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo ya Mkoa wa lindi jana Januari 22, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mtoto Subira Mkwenya, wakati akiondoka baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika Zahanati ya Kilanjelanje iliyopo Jimbo la Kilwa Kusini, wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo ya Mkoa wa Lindi jana, januari 22, 2012.
0 maoni:
Post a Comment