Saturday, January 14, 2012

MREMBO HOYCE TEMU KUTUNUKIWA STASHAHADA

Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akisubiri kutunukiwa Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe akimtunukia Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa (Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations) katika Mahafali ya Kumi na Sita ya Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam. 
Hoyce Temu akiwa na mtoto wake Ruby.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU