Sunday, February 19, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UTAFITI BINGWA WA MASOKWE DUNIANI, JANE GOODAL

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na
mkewe Mama Asha Bilal, wakizungumza na Mtafiti bingwa wa Masokwe Duniani, aliyekaa nchini
kwa miaka 50 akifanya utafiti wa Masokwe katika Mapori ya Gombe na Mahale, Jane Goodall,
wakati alipofika Ikulu ndogo Wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi kwa ajili ya mazungumzo jana
Februari 18, 2012
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya kitabu cha mtafiti bingwa duniani wa Masokwe, Jane Goodall, aliyefika
Ikulu ndogo ya Wlaya ya Mpanda mkoa wa Katavi jana Februari 18, 2012 kwa ajili ya
mazungumzo. Jane amekaa nchini kwa miaka 50 akifanya utafiti katika mapori ya Gombe na
Mahale yaliyopo mkoa wa Kigoma na Katavi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal,
akielekezwa na mtafiti bingwa Duniani wa Masokwe, Jane Goodall, kuhusu ishara anazozitumia
kuwasiliana na Masokwe na jinsi ya kuzungumza nao, wakati alipofika Ikuu ndogo ya Wilaya
ya Mpanda mkoa wa Katavi jana Februari 18, 2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU