Friday, February 24, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA KUJADILI SOMALIA JIJINI LONDON

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Lancaster House jijini London  February 23, 2012 kijiunga na viongozi wa nchi mbalimbali katika mkutano wa kujadili mstakabali wa nchi ya Somalia ambayo imekuwa katika misukosuko kwa zaidi ya miaka 20 ambapo jumuiya ya kimatifa ikiongozwa na Uingereza imepania kumaliza matatizo mbalimbali katika nchi hiyo ikiwemo kutokuwa na serikali inayoeleweka, uharamia, ugaidi pamoja na kujaribu kurudisha amani. 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU