Friday, February 24, 2012

REDDS ORIGINAL IKIKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA NA WASHIRIKI WA KINYWAJI HICHO SIKU YA WAPENDANAO DUNIANI

mmoja kati ya mabalozi wa kinywaji cha Redds Original Akimkabidhi kifurushi cha zawadi mmoja kati ya wateja na washirika wa kinywaji hicho hivi kwaajili ya maadhimishi ya kipindi cha siku ya wapendanao Duniani 
Balozi wa kinywaji cha Redds Original Akimkabidhi kifurushi cha zawadi mbalimbali Mkurugenzi wa kampuni ya ASSET Intateiment  Asha Baraka kwaajili ya maadhimishi ya kipindi cha siku ya wapendanao Duniani  

mmoja kati ya mabalozi wa kinywaji cha Redds Original Akimkabidhi kifurushi cha zawadi mmoja kati ya wateja na washirika wa kinywaji hicho hivi kwaajili ya maadhimishi ya kipindi cha siku ya wapendanao Duniani
Balozi wa kinywaji cha Redds Original Akimkabidhi zawadi mbalimbali toka Redds  Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania Jane John kwa niaba ya Uongozi wa Shirika hilo kwaajili ya maadhimishi ya kipindi cha siku ya wapendanao Duniani 
mmoja kati ya mabalozi wa kinywaji cha Redds Original Akimkabidhi kifurushi cha zawadi mmoja kati ya wateja na washirika wa kinywaji hicho hivi kwaajili ya maadhimishi ya kipindi cha siku ya wapendanao Duniani 
 
0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU