Tuesday, February 7, 2012

WAZIRI MKUU AKIWA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Sumbawanga Mjini  Khalfan Aeshi wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Februari 7,2012.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Maswa Magalle Shibuda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 7, 2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU