Monday, February 6, 2012

WAZIRI MKUU OFISINI KWAKE BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Stephen Wasira (katikati )  na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kwenye  viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma Februari 6, 2012.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira akizungumza na Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Cyril Chami kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Februari 6, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya MAAT International ya Spain, Bw. Santiago Jimenez Barull kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake, Bungeni mjini Dodoma Februari  6, 2012. Kampuni hiyo inakusudia kuwekeza nchini katika kilimo na madini. Katikati ni Mbunge wa Wawi na mwenyeji wa Mgeni huyo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU