Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Davis Mwape na Salamu Obina wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Yanga imeshinda 1-0 dhidi ya African Lyon.
USIKOSE KUANGALIA TBC 1 KILA SIKU NA KUSIKILIZA RADIO ZA TBC IKIWEMO TBC TAIFA,TBC FM NA TBC INTERNATIONAL KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI SIKILIZA TBC TAIFA SAA MOJA NA NUSU KILA SIKU
0 maoni:
Post a Comment