Thursday, March 29, 2012

LOWASA NA SHY-ROSE MTO WA MBU, MONDULI

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa (katikati) akizungumza na Meneja Mahusiano wa Benki ya NMB,Shy-Rose Bhanji ambaye amefika Wilayani Monduli leo kwa kutoa msaada wa sh. 10 milioni uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya wahanga wa Mafuriko yaliyoukumba mji wa Mto wa Mbu,Wilayani Monduli.Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Vicky Bishubo.
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,Mh. Jowika Kasunga (kulia) pamoja na DAS wa Monduli,George Mjema wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU