Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana Rais wa Kampuni ya utafiti wa mafuta ya Europe and Africa Schlumberger Seaco Inc ya Ujerumani, Bw. Sherif Foda kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 27,2012.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza Rais wa Kampuni ya utafiti wa mafuta ya Europe and Africa Schlumberger Seaco Inc ya Ujerumani, Bw. Sherif Foda (wapili kushoto) na ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 27,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Serikali za Mitaa cha Korea (Local Government Development Institute - LOGODI), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 27,2012. Kushoto ni Balozi wa Korea ya nchini, Young hoon Kim na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanry.
0 maoni:
Post a Comment