Friday, March 2, 2012

NUNUA MBOGA KWAAJILI YA FAMILIA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY

Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati wa halfa fupi ya uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwaajili ya familia kupitia huduma ya Airtel money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase International limited. Wanaoshuhudia  toka (kulia) ni meneja wa Airtel money Asupya Nalingingwa na Afisa Mauzo wa SAIL bwana Daniel Kimati (kushoto).
Waandishi wa habari wa vyombo vya habari tofauti wakishuhudia uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwaajili ya familia kupitia huduma ya Airtel money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase International limited katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya kampuniya Airtel Tanzania.
Afisa Mauzo wa SAIL bwana Daniel Kimati akiongea na waandishi wa habari wakati wa halfa fupi ya uzinduzi wa huduma mpya inayomwezesha mteja kununua mboga kwaajili ya matumizi ya nyumbani kupitia huduma ya Airtel money inayotelewa na Airtel kwa kushirikiana na kampuni ya Stake Agrobase International limited. Wakishuhudia katikati ni Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando  akifatiwa na meneja wa Airtel money Asupya Nalingingwa.





0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU