Monday, March 26, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA LIWALE HAYATI VICTOR PAUL CHIWILE LEO KIBAHA

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za Mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza na Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakiwa mazikoni
Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale Marehemu Victor Paul Chiwile wakati wa mazishi Kibaha Picha ya Ndege mkoa wa Pwani leo Machi 26, 2012

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU