Timu ya TBC imeshindwa kutamba katika mashindano ya NSSF yaliyoanza leo ambapo katika mchezo huo timu ya TBC imefungwa 2-1 na Timu ya Jambo Leo.
WAZIRI wa KAZI na AJIRA, GAUDENSIA KABAKA amezindua rasmi mashindano ya vyombo vya habari ya NSSF ambayo yana lengo lake ni kuendeleza michezo katika vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na kudumisha uhusiano baina ya shirika la hifadhi ya jamii.
0 maoni:
Post a Comment