Saturday, March 10, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA MIKUTANO CHA JULIASI KAMBARAGE NYERERE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua ujenzi wa Kituo cha kimataifa cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Kambarage Nyerere kwenye Mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar es salaam March 10,2012. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Kulia kwake ni Balozi wa China nchini,  LV Youqing.
Waziri Mkuu, Mzengo Pinda akijadili jambo na  Waziri wa mamboya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) , Balozi wa China Nchini, LV Youqing baada ya kukagua ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere , Mtaa wa Shaban Robert jijini Dar es salaam March 10,2012.  Wengine pichani na wahadisi  kutoka China wanaosimmia ujezi huo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU