Goli la dadika ya 89 la mchezaji Hamisi Kiiza limeipeleka yanga hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara.
Yanga sasa itacheza na timu ya Coastal Union ya Tanga jijini Tanga, Huku simba yenyewe ikicheza jumapili ya tarehe 18.03.2012 na timu ya Mtibwa Sugar, Timu ya Simba inaongoza ligi ikifuatiwa na timu ya Yanga na Azam ikishika nafasi ya tatu.
0 maoni:
Post a Comment