Sunday, April 22, 2012

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA BRIGEDIA JENERALI MWAKANJUKI

Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki mapema asubuhi leo April 22, 2012 katika kambi ya JWTZ ya Kikosi cha Anga kabla ya kupelekwa Zanzibar kwa mazishi. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange na Mh Aboud wakiangalia wakati jeneza lenye mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki ulipokuwa unaingizwa katika ndege mapema asubuhi leo April 22, 2012 katika kambi ya JWTZ ya Kikosi cha Anga kabla ya kupelekwa Zanzibar kwa mazishi.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU