MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Lloyd Nchunga (pichani), hatimaye amejiuzulu wadhifa huo.
Kujiuzuru kwakwe kunafuatia shinikizo kubwa kutoka kwa kamati ya wazee wa Yanga, ambao walifanya mkutano wiki iliyopita uliohudhuriwa na zaidi ya wanachama 700 ambao kwa kauli moja walimtaka Mchunga aachie ngazi.
0 maoni:
Post a Comment