Wednesday, May 9, 2012

GRANDMALT MAZINGIRA

Katibu kiongozi wa kitengo cha mazingira kwenye chuo kikuucha Kilimo Sokoine akipanda mti katika eneo maalum ndani ya chuo kikuu chaKilimo  Sokoine mjini Morogoro kwenyekampeni maalum ya mazingira inayofanywa na Grandmalt kwenye vyuo vikuu nchinikwa mwaka huu. 
Meneja wa Kinywaji cha Grand malt Consolata Adam (Alieinamakatikakati) akipanda mti katika eneo maalum ndani ya chuo kikuu cha Kilimo  Sokoine mjini Morogoro kwenye kampeni maalumya mazingira inayofanywa na Grandmalt kwenye vyuo vikuu nchini kwa mwaka huu. 

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU