1. Meneja Mkuu wa Global Publishers Abdalah Mrisho (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu burudani itakayotolewa na Sugu akiwa na wasanii wengine wakali ambao ni pamoja na Professor J na Juma Nature. Kulia ni Mratibu wa Shoo za Wasanii Dar Live, Luqman Maloto
SUGU akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na tamasha
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mkali huyo
0 maoni:
Post a Comment