Sunday, May 27, 2012

WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) LEO

Nahodha wa timu ya mpira wa kikapu kutoka chuo kikuu cha Dodoma
(UDOM) akipokea kombe la ushindi wa timu yake UDOM Social  kutoka kwa Mgeni rasmi pichani kati,Diwani wa kata ya Mnadani,Mh.Steven Masangia mara baada ya kuibuka kinara kwenye ligi ya mashindano ya mpira wa kikapu iitwayo DODOMA BASKETBALL DEVELOPMENT LEAGUE 2012,ambayo imefikia tamati leo kwenye uwanja wa mchezo huo uliopo ndani ya uwanja wa mpira wa miguu wa Jamuhuri mjini Dodoma
Nahodha wa timu ya mpira wa kikapu kutoka chuo cha MIPANGO-Dodoma
akipokea kombe la ushindi wa timu hiyo kutoka kwa Mgeni rasmi pichani
kati,Diwani wa kata ya Mnadani,Mh.Steven Masangia mara baada ya kuibuka mshindi wa pili kwenye ligi ya mashindano ya mpira wa kikapu iitwayo DODOMA BASKETBALL DEVELOPMENT LEAGUE 2012,ambayo imefikia tamati leo kwenye uwanja wa mchezo huo uliopo ndani ya uwanja wa mpira wa miguu wa Jamuhuri mjini Dodoma
 Pichani kati ni  Mgeni rasmi na Diwani wa kata ya
Mnadani,Mh.Steven Masangia akizungumza mapema leo jioni mara baada ya
kuisha kwa fainali ya ligi ya mchezo wa kikapu iitwayo DODOMA BASKETBALL
DEVELOPMENT LEAGUE 2012,ambayo imefikia tamati leo kwenye uwanja wa
mchezo huo uliopo ndani ya uwanja wa mpira wa miguu wa Jamuhuri mjini
Dodoma Ligi hiyo ilizishirikisha timu tisa,ambazo ni UDOM,Chuo cha
Mipango Dodoma,St.John,CBE,Don-Bosco,Dom Warriors,Dom Spears,Dodoma
Spurs pamoja na UDOM Education
Wachezaji wa timu ya UDOM-Social wakilisakama vilivyo goli la timu ya chuo cha MIPANGO.
  Mchezaji wa timu ya UDOM-Social akitaka kumtoka mchezaji wa timu ya MIPANGO.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU