Thursday, June 14, 2012

ZOEZI LA KUCHANGIA DAMU BADO LINAENDELEA

  Mshauri Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher  John Ozga (kushoto) akiwa katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani. Aliyesimama ni Afisa kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama Bw. Deochris Kaimukilwa.
 Wafanyakazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wakionyesha ushujaa katika uchangiaji damu. Kutoka kushoto ni Richard Banda, Bw. Christopher John Ozga na Hashim Mahige.
 Mtangazaji wa Radio France International (RFI Kiswahili) Emmanuel Makundi akifanya mahojiano na  Bw. Hashim Mahige wakati wa zoezi kuchangia damu lililofanyika katika Ofisi za shirika la Afya Duniani (WHO) jijini Dar es Salaam ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani.
 :Charles Lutandula wa WHO akifanyiwa vipimo vya awali na Mtaalamu kutoka mpango wa Taifa wa Damu Salama Bi. Edith Senga kabla ya kuchangia damu
 Mshauri Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher  John Ozga akifanyiwa vipimo na  Bw. Deochris Kaimukilwa baada ya kujitolea damu.
 Charles Lutandula wa (WHO) katika zoezi la uchangiaji damu.
:Ramadhani Ndimba kutoka NASP .

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU