Thursday, July 19, 2012

GLOBAL PUBLISHERS YACHANGIA MILIONI 10 UJENZI WA HOSTELI ZA WASICHANA NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia), akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 10, Mkurugenzi wa Uhamasishaji wa Mamlaka ya Elimu nchini (TEA), Seif Mohammed.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kushoto) akifungua hafla hiyo. Wengine pichani ni Eric Shigongo (kulia) na Seif Mohammed (katikati).
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati) akisisitiza jambo katika hafla hiyo.
Seif Mohammed (kushoto), akiishukuru Global Publishers na kuwaomba wananchi wengine wajitokeze kuchangia mfuko huo.
Sehemu ya wanahabari waliokuwa kwenye hafla hiyo.
Wageni waalikwa katika hafla hiyo wakijisevia msosi.
Jane John na baadhi ya wanahabari wakipata lunch.

Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd leo imetoa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni sehemu ya mapato yaliyopatikana kwenye Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wasichana nchini. Kampuni hiyo imetoa hundi hiyo kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU