Monday, July 16, 2012

MASHINDANO YA MCHEZO WA POOL NGAZI YA TAIFA BADO YANAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jaba, Abdalah Ngowi(Kulia) na Haji Hussein wa Mkwajuni wakishindana kulagi wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa yanayoendelea katika Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jaba ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Said Mohamed akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jambo Lee ya Kinondoni akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Jaba ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Haji Hussein akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam jana.
Wachezaji wa Klabu ya Meeda wakimlalamikia mwamuzi, Leodger Masawe wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa Pool wa Klabu ya Shoko ya Mkoa wa kimichezo wa Kinondoni, Modester David akicheza wakati wa mashindano ya Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa kwenye Ukumbi wa New Mwinjuma Dar es Salaam jana.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU