Sunday, July 15, 2012

SIMBA HOI KWA URA YA UGANDA YACHAPWA 2-0

Timu ya SIMBA imeshindwa kutamba kama wapinzani wao YANGA ,baada ya kufungwa mabao 2-0 dhidi ya URA ya UGANDAkatika michuano ya kombe la Kagame linaloendelea hapa nchini.

Nayo timu ya AZAM imetoshana nguvu na timu ya MAFUNZO baada ya kufungana bao moja kwa moja katika mchezo uliofanyika uwanja wa CHAMAZI Jijini DSM.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU