Friday, July 20, 2012

RAIS KIKWETE AKIWA NA RAIS WA ZANZIBAR, ASWALI SALA YA IJUMAA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakijumuika na wananchi wa Zanzibar katika swala ya Ijumaa katika msikiti wa Mwembe Shauri, Unguja.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Sheik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakiongea katika Ikulu ya Zanzibar leo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU