Wednesday, July 18, 2012

RAIS KIKWETE AKUATANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISAMAILI DUNIANI H.H. THE AGA KHAN IKULU LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 18, 2012 kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa chakula cha mchana  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, na ujumbe wake wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na  Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU