Friday, July 13, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA ULINZI NA USALAMA, ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA SMART PARTNERSHIP

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mqwenyekiti wa  Kamati ya Bunge ya Mambo ya  Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Edward Lowassa baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na  wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya  Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kikao maalumu cha maandalizi ya mkutano wa Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM) kwenye makao makuu ya CPTM inayojiandaa kwa mkutano wake mkuu wa Global 2012 International Smart Partneship Dialogue unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei Mwakani jijini Dar es salaam.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU