Thursday, July 19, 2012

SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE LEO IKULU

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe aliopewa  na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundiu  Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi leo July 19, 2012  Ikulu  jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi uliowasilishwa na Mjumbe Maalum wa  Rais wa Burundi Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi, Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mjumbe Maalum Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi aliyemletea ujumbe toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi leo. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe Issa Mtambulka na kulia ni Afisa mwandamizi wa Serikali ya nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Pathfinder International alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU