Saturday, July 14, 2012

WAZIRI MKUU ALIPOKUA KWENYE MKUTANO WA KAMATI YA SENSA YA KITAIFA-ZANZIBAR

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kamati ya Sensa ya Kitafa, Mjini Zanzibar Julai 14,2012.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi  Seif wakiteta katika Mkutano wa Kamati ya Sensa ya Kitaifa uliofanyika Mjini Zanzibar , Julai 14,2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU