Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Mshauri wa Masuala ya Usalama katika nyanja ya Kimataifa wa Marekani, Bw. Michael Froman kabla ya Mazungumzo yao Jijini Dar es salaam Julai 13,20132. Kulia ni Balozi wa Marekani Nchini, Bw. Alfoonso E. Lenhardt.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Mshauri wa Masuala ya Usalama katika nyanja ya Kimataifa wa Marekani, Bw. Michael Froman kabla ya Mazungumzo yao Jijini Dar es salaam Julai 13,20132.Kulia ni Balozi wa Marekani Nchini, Bw. Alfonso E. Lenhardt.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Mshauri wa Masuala ya Usalama katika nyanja ya Kimataifa wa Marekani, Bw. Michael Froman (kushoto)baada ya kutia saini makubaliano ya awali kati ya Marekani na tanzania , ofini kwake jijini Dar es salaam Julai 13, 2012.Wapili kulia ni Balozi wa Marekani Nchini, Bw. Alfonso E. Lenhardt. Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
0 maoni:
Post a Comment