Friday, July 13, 2012

YANGA NA SIMBA ZAKABIDHIWA VIFAA VYA KAGAME ,YANGA KUFUNGUA DIMBA NA ATLETICO YA BURUNDI

Kaimu meneja wa bia ya kilimanjaro akikabidhi vifaa vya michezo kwa meneja wa Yanga Hafidh kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame inayotarajia kuanza hapo kesho
Kaimu meneja wa kilimanjaro Oscar akikabidhi vifaa vya michezo kwa makamu mwenyekiti wa Simba kwa ajili ya kombe la Kagame

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU