Friday, July 13, 2012

FRANCIS CHEKA NA KALAMA NYILAWILA KUTWANGANA SEPTEMBER 29 MWAKA HUU

         Mwaandaaji wa pambano la Cheka na Kalama akiwa amepozi na Kalama
                Mabondia Francis Cheka na Kalama Nyilawila wakitambiana juu ya pambano lao

Mabondia FRACNCIS  CHEKA na KALAMA NYILAWILA wanatarajia kutwangana September 29 mwaka  huu kuwania ubingwa wa DUNIA wa WBC au WBO pambano litafanyika katika ukumbi wa PTA

1 maoni:

Anonymous said...

WATAPIGANIA UBINGWA WA UBO SUPER MIDDLEWEIGHT INTERNATIONAL ANGALIA http://www.uboboxing.com/upcoming.htm

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU