Tuesday, August 7, 2012

AZAM WAMTAMBULISHA KOCHA MPYA LEO

Klabu ya Azam yamtambulisha kocha wao mpya anayeitwa BORIS BUNJAK ametoka Serbia na aliemshika mkono ni mwenyekiti wa Azam. Kocha huyo ambae ametambulishwa leo amasaini mkataba wa miaka miwili.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU