Monday, August 6, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUTURISHA IKULU NDOGO MJINI DODOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kutoka kulia) akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Magharibi wakati wa hafla ya Futari aliyowaandalia na kushiriki nao pamoja katika futari hiyo iliyoandaliwa Ikulu ndogo mjini Dodoma jana Agosti, 5, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Nchimbi, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mhe. Juma Kapuya, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya hafla ya futari, iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri Maliasili na Utalii, Hamis Kagasheki, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya hafla ya futari, iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU