Monday, September 17, 2012

UZINDUZI WA KINYWAJI KIPYA CHA KAMPUNI YA TBL CHA FARU JIJINI ARUSHA

 Meneja Masoko wa Tbl Bi Natalia Celeni kushoto akiwa na Meneja mauzo wa Tbl wa kanda ya kaskazini Kasiro Msangi kushoto mara baada ya kufanya uzinduzi wa kinywaji kipya cha Kampuni hiyo kinachojulikana kwa jina la FARU .Uzinduzi huo umefanyika jijini Arusha jana
Wafanyakazi wa kiwanda cha Bia cha Tbl kanda ya kaskazini na wadau wa bia jijini Arusha wakifurahia kwa pamoja mara baada ya kuzinduliwa kwa bia mpya ya FARU jijini Arusha

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU