Tuesday, September 18, 2012

WARIDI FRENK NDIYE REDDS MISS KANDA YA KASKAZINI.

Redds Miss kanda ya Kaskazini Warida Frenk katikati akiwa na washindi wenzake Anande Raziel kulia na lucy stefano kushoto mara baada ya kutawazwa kuwa washindi wa Redds Miss Kanda ya kaskazini,Washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania hapo baadae ili kujiandaa na shindano la Taifa la Redds Miss Tanzania
 Mkurugenzi wa Lino Ageny Hashimu Lundenga katikati akifuatilia kwa ukaribu shindano la Redds Miss kanda ya Kaskazini wakati warembo mbalimbali waliotoka katika mikoa ya Kilimanjaro,Manyara,Tanga na Arusha wakipepetana kumtafuta mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kaskazini ambapo Mlimbwende Warida Frenk aliibuka mshindi akifuatiwa na Anande Raziel na Lucy Stefano.Washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania hapo baadae ili kujiandaa na shindano la Taifa la Redds Miss Tanzania
 Warembo waliofanikiwakiwa kuingia hatua ya tano bora kwenye shindano la Redds Miss kanda ya Kaskazini wakiwa katika Picha ya pamoja kabla ya kutangazwa kwa washindi waliofanikiwa kushika nafasi tatu za juu ambapo Washindi hao wanatarajiwa kujiunga kwenye kambi ya Redds Miss Tanzania hapo baadae ili kujiandaa na shindano la Taifa la Redds Miss Tanzania

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU