Tuesday, September 18, 2012

AIRTEL YADHAMINI MATEMBEZI YA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA SHULE YA SEKONDARI SHABAN ROBERT

 Wafanyakazi wa Airtel wakiwa katika kituo kimoja wapo cha kugawa maji wakati wa matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya shule ya sekondari ya Shabaani Robert jumapili na kuongozwa na Raisi Mstaafu  wa  awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi,  Airtel ilikuwa ni moja kati ya wadhamini wa maadhimisho hayo
 Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akigawa maji kwa washiriki zaidi ya 2000 walishiriki katika matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya shule ya sekondari ya Shabaani Robert yaliyofanyika jumapili na kuongozwa na Raisi Mstaafu wa awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi,  Airtel ilikuwa ni moja kati ya wadhamini wa maadhimisho hayo
Mkurugenzi wa fedha wa Airtel Tanzania Kalpesh Mehtal  akishiriki katika matembezi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Shule ya sekondari Shaaban Robert  akipokea maji kutoka kwa wafanyakazi wa Airtel katika kituo kimojawapo cha maji kilichosimamiwa na Airtel, Matembezi hayo yalifanyika siku ya jumapili ambapo Airtel ni moja kati ya wadhamini
Wafanyakazi wa Airtel wakiwa katika kituo cha kugawa maji katika matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya shule ya sekondari ya Shaabani Robert ambapo pamoja na kushiriki katika zoezi hilo Airtel ilikuwa ni moja kati ya wadhamini

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU