Sunday, October 14, 2012

BARCLAYS YAANGUSHA PATI YA AINA YAKE

  Mkurugenzi wa Bidhaa na Huduma za Reja reja wa Barclays Tanzania, Zahid Mustafa (kulia) akizungumza katika hafla waliyowaandalia wateja wao wakubwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa wa benki hiyo, Neema Rwehumbiza na kushoto ni Meneja wa Kituo cha Premier, Sophia Mang’enya. Barclays ilizindua huduma ya Premier Banking ya wateja wakubwa Septemba 24 mwaka huu ambapo mteja huhudumiwa bila gharama zozote za kuendesha akaunti na kila mteja atapata kadi maalumu pamoja na meneja uhusiano atakayekuwepo wakati wowote kumpatia huduma na pia kupata fursa maalumu katika matawi yote yaliyopo ndani na nje ya nchi kuweza kujipatia mikopo hadi Milioni 70 kwa kipindi cha miezi 72.
 Mkurugenzi wa Bidhaa na Huduma za Reja reja wa Barclays Tanzania, Zahid Mustafa (katikati) akizungumza katika hafla waliyowaandalia wateja wao wakubwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa wa benki hiyo, Neema Rwehumbiza na kushoto ni Meneja wa Kituo cha Premier, Sophia Mang’enya. Barclays ilizindua huduma ya Premier Banking ya wateja wakubwa Septemba 24 mwaka huu ambapo mteja huhudumiwa bila gharama zozote za kuendesha akaunti na kila mteja atapata kadi maalumu pamoja na meneja uhusiano atakayekuwepo wakati wowote kumpatia huduma na pia kupata fursa maalumu katika matawi yote yaliyopo ndani na nje ya nchi kuweza kujipatia mikopo hadi Milioni 70 kwa kipindi cha miezi 72.
Baadhi ya wafanyakazi na wateja wakubwa wa benki ya Barclays Tanzania, wakiselebuka katika pati iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Barclays ilizindua huduma ya Premier
Banking ya wateja wakubwa Septemba 24 mwaka huu ambapo mteja huhudumiwa bila gharama zozote za kuendesha akaunti na kila mteja atapata kadi maalumu pamoja na meneja uhusiano atakayekuwepo wakati
wowote kumpatia huduma na pia kupata fursa maalumu katika matawi yote yaliyopo ndani na nje ya nchi kuweza kujipatia mikopo hadi Milioni 70  kwa kipindi cha miezi 72.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU