UMATI wa wapenzi wa burudani jana walibanjuka na msanii Denis Kaggia ‘DNA’ kutoka nchini Kenya katika onesho
lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Burudani hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo mkali wa muziki wa reggae Jhikoman, Kundi la Taarab la
Mashauzi Classic, wanamuziki wa kizazi kipya, Shadrack Joseph, Roma, Dully Sykes na burudani ya sarakasi kutoka
mkali wa ishu hizo, Zungu Tasha.

0 maoni:
Post a Comment