Wednesday, October 17, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONANA NA UJUMBE KUTOKA UMOJA WA MATAIFA UNAOSHUGHULIKIA MATUMIZI ENDELEVU YA NISHATI KWA WOTE.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe kutoka Umoja wa Mataifa unaoshughulikia Matumzi endelevu ya Nishati kwa wote, wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa rais, Ikulu jijini Dar es   Salaam, leo Oktoba 17, 2012 kwa mazungumzo.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na (Mshauri wa Nishati Umoja wa Ulaya), Bw. Luis Gomez Echeverri, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 17, 2012. Kushoto ni Faouzi Bensarsa (Mshauri wa Nishati Umoja wa Ulaya).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa kutoka Umoja wa Mataifa unaoshughulikia Matumzi endelevu ya Nishati kwa wote, wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa rais, Ikulu jijini Dar es   Salaam, leo Oktoba 17, 2012 kwa mazungumzo.

0 maoni:

Post a Comment

WANAOTEMBELEA KWA SIKU